ROONEY AFUNGA GOLI LA KWANZA TANGU AJIUNGE NA EVERTON LEO

Mpira umekwisha kwa Everton kushinda bao 2-1, magoli yakifungwa na Rooney dakika ya 35 kabla Tuyisenge wa Gor Mahia kusawazisha dakika mbili baadaye.

Goli la ushindi la Everton limepatikana dakika ya 82 kupitia kwa Dowell.

Hata ivyo mashabiki walifurika kiwanjani hapo kumshuhudia Wayne Rooney

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UFUGAJI WA NGURUWE

DALILI ZA KUMJUA RAFIKI AMBAYE NI MSALITI

NJIA 5 ZINAZOMUONYESHA MUME AU MKE ASIYEFAA