MATIC AFUZU VIPIMO VYA AFYA

Kiungo Nemanja Matic amefuzu vipimo na muda mchache atatangazwa kuwa mchezaji rasmi wa Man United.

Matic anatoka Chelsea kujiunga na Man United kwa mkataba wa thamani ya pauni million 31.

Raia huyo wa Serbia amekuwa chaguo namba moja la Kocha Jose Mourinho tokea akiwa Chelsea na sasa ametua Man United amefanya juu chini kuhakikisha anamnas

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UFUGAJI WA NGURUWE

DALILI ZA KUMJUA RAFIKI AMBAYE NI MSALITI

NJIA 5 ZINAZOMUONYESHA MUME AU MKE ASIYEFAA