GAZA HAPAKALIKI

Umoja wa Mataifa umesema Ukanda wa Gaza haukaliki kwa wakazi wake wapatao milioni mbili.

Katika ripoti inayoangalia hali ya kibinadamu,

-Umoja wa Mataifa umesema kiwango cha kipato.
-huduma ya afya.
-Elimu.
-Huduma ya umeme na maji safi ya kunywa imezorota katika kipindi cha miaka kumi tangu Hamas ichukue madaraka katika eneo hilo.

Baada ya kuchukua utawala, Israel ambayo inaitambua Hamas kama kundi la kigaidi, ikishirikiana na Misri wameitenga Gaza.

Mamlaka ya Palestina, ambayo inadhibiti eneo la West Bank imesitisha uhamishaji wa fedha katika ukanda huo wa pwani na kuitaka Israel kupunguza huduma ya umeme.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

UFUGAJI WA NGURUWE

DALILI ZA KUMJUA RAFIKI AMBAYE NI MSALITI

NJIA 5 ZINAZOMUONYESHA MUME AU MKE ASIYEFAA